THE GREEN ATAMBULISHA WIMBO MPYA "MALKIA MAMA"

Msanii The Green leo hii Septemba 23, ametambulisha wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Malkia Mama'. The Green ametambulisha wimbo huo ikiwa siku ya jumatatu 23 ambayo ni siku yake ya kuzaliwa. Ametoa wimbo huo ikiwa ni shukrani / zawadi kwa mama yake mzazi na kwa mtu yeyote anayempenda mama yake. Tendea haki masikio yako kwa kuyasikilizisha 'Malkia Mama' kutoka kwa The Green. Unaweza kuupakua hapo chini!!
AUDIO | THE GREEN - MALKIA MAMA | MP3 DOWNLOAD

SHARE THIS

Author:

Previous Post
Next Post